Kufuzu AFCON 2025 | Mchambuzi asema Fiston Mayele hakuwa hatari kwa Taifa Stars

3 months ago 33


Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ anasema nyota wa DR Congo Fiston Mayele jana hakuwa katika kiwango chake kile ambacho watu wamekizoea japo anasema mchezaji huyo bado anapaswa kuchukuliwa kuwa ni hatari kwenye mchezo wa Oktoba 15 katika dimba la Benjamin Mkapa. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania
Source : AzamTV

SHARE THIS POST