KIPYENGA CHA MWISHO 10/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata mechi za Simba, Azam FC, Dodoma Jiji

3 months ago 34


Mwamuzi mstaafu Osman Kazi ameondoa utata wa maamuzi kwenye mechi za NBC Premier League huku akizigusa mechi za Azam FC dhidi ya Simba SC, Mashujaa dhidi ya Azam FC na Dodoma Jiji dhidi ya Simba SC.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST