Kinyozi asiyejulikana Mombasa

5 months ago 100


Kuna kinyozi mpya mjini Mombasa. Bado hajulikani kwa wateja na wafanyakazi wake kutokana na kuvaa barakoa inayoficha uso wake. Lakini ubunifu wake umewavutia wateja wengi.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST