>

Kinara wa Azimio Raila Odinga ashutumu mataifa ya kigeni

1 month ago 44
SHARE THIS POST


Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Alliance kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Raila Odinga, anashutumu mataifa ya bara Uropa kwa kile anachotaja kama kuhitilafiana na uongozi wa Kenya na Afrika kwa jumla. akizungumza kwenye uzinduzi wa kitabu cha mkurugenzi mkuu wa ODM, Oduor Ong'wen, Raila ametoa wito kwa Wakenya na Waafrika kujikomboa kutoka kwa ukoloni wa mataifa ya uropa yanayoingilia masuala ya kisiasa na kiuchumi wa Afrika.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST