Kama uko na mayai mawili, unga na maziwa tengeneza hii recipe utapenda sana | mapishi rahisi
Jinsi ya kutengeneza mikate laini ya chocolate ndani๐ฏ/๐ฏ, chocolate stuffed brioche bread ๐ฅ mahitaji: unga 500g 4cups siagi 125 g ยฝ cup sukari ยฝ cup hamira 2 tsp mayai 2 maji / maziwa ยพ cup maziwa ya unga 3 tbsp vanilla 1 tsp