Kagera Sugar yataja sababu za kuachana na Kocha Paul Nkata
Kama tutaendela hivi hatutofikia malengo” maneno ya Mkurugenzi wa Mashindano wa Kagera Sugar, Ramadhan Kharula akitaja sababu za kuachana na aliyekuwa kocha wao Paul Nkata. #KageraSugar #Mshikemshike