Jinsi ya kutengeneza maandazi / mahamri laini ya iliki na chai ya maziwa ya iliki πŸ˜‹πŸ˜‹ | Breakfast tam

6 months ago 54


mahitaji ya mahamri unga vikombe 2 sukari robo kikombe iliki nusu kijiko kidogo hamira kijiko 1 na nusu kidogo tui la nazi kikombe kimoja kasorobo mahitaji ya chai maziwa vikombe 2 majani kijiko 1 kikubwa iliki kijiko kimoja kidogo kasorobo maziwa mazito vijiko 2 or 3 vikubwa
Source : Mapishi

SHARE THIS POST