Jinsi ya kutengeneza keki ya kuchambuka na laini sana | Marble cake recipe
Recipe ya leo ni marble cake mahitaji: Β½ cup butter / siagi 1 cup sugar / sulari 2 tbsp oil / mafuta 4 eggs / mayai Β½ cup milk / maziwa 2 & ΒΌ cup flour / unga 1 tbsp baking powder 3 tbsp cocoa powder 2 & Β½ tbsp milk