Jinsi ya kutengeneza cinnamon rolls laini sana - mkate ya mdalasini - mapishi rahisi

7 months ago 51


Jinsi ya kutengeneza cinnamon rolls laini sana - mkate ya mdalasini - mapishi rahisi mahitaji: 500g unga 2 tbsp sukari 1 tbsp hamira 1 tsp baking powder 1 egg White ( ute wa yai moja ) maziwa ya kukandia ⅓ cup siagi ¾ cup sukari 1 tbsp mdalasini 2 tbsp cocoa 1 cup maziwa ya unga 1 cup icing sugar 6 triangle cheese ¼ tsp vanilla
Source : Mapishi

SHARE THIS POST