Jinsi Ya Kupika Vibibi / Chila Tamu Na Laini Sana Nyumbani - Vibibi Recipe By Mapishi Rahisi
leo nimewaletea mapishi rahisi ya vibibu laini Mahitaji: kikombe kimoja na nusu mchele kikombe kimoja na nusu tui kikombe nusu sukari kijiko kimoja kikubwa hamira nusu kijiko kidogo hiliki Vijiko viwili vikubwa unga wa ngano Tui ya juu: Kikombe kimoja na nusu tui Kikombe robo sukari Kijiko kidogo iliki Kijiko kikubwa corn starch - - - - - - - keki, vibibi, vibibi laini, vitumbua, vitumbua laini, vitumbua moto moto, tamu, laini, viazi, kachori, mapishi, tanzania, keki tanzania, kuoka keki, keki dar, kuoka na kupamba keki, kujifunza keki, cake, cake baking, cake making, mapishi rahisi