Jinsi Ya kuoka Keki Na Kuipamba πŸ”₯ keki ya ladha ya kahawa mapishi rahisi

4 months ago 36


Assalamu aleikum recipe ya leo ni coffee cake ama keki ya kahawa Ingredients/ mahitaji 5 eggs separated/ mayai tano weka ute na viini kando 65g warm milk / maziwa vuguvugu 50g oil / mafuta 1 tsp vanilla 100g flour/ unga 100g sugar / sukari 1 tbsp instant coffee / kahawa ya kuyeyuka haraka 1 & Β½ whipping cream 1 tbsp instant coffee / kahawa ya kuyeyuka haraka 1 tbsp warm water/ maki vuguvugu ΒΌ cup icing sugar / sukari ya unga
Source : Mapishi

SHARE THIS POST