Je unaweza kutumia gari hili ?

3 months ago 34


Gari hili linauwezo wa kutembea kilomita kadhaa kwa kutumia mafuta machache, kwa mujibu wa mbinifu wake. Je, unaweza kutumia gari hili ukilinganisha na hali ya kupanda kwa bei ya mafuta hivi sasa? Tukuandikie maoni yako hapo chini.🥳
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST