Je kwanini watu wengi mashuhuri wanaingia katika shuhuli za ushereheshaji kwa sasa?
Mahsein Awadhi maarufu kama Dr Cheni @mcdrcheni ni moja kati ya wasanii waliotamba sana kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 2000 katika tasnia ya maigizo akiwa na kundi la kaole. Licha ya kuendelea na sanaa ya uigizaji Dr Cheni kwa sasa amejikita zaidi katika shughuli za ushereheshaji ambazo pia zimeendelea kumpa umaarufu Mara dufu nchini humo. @mcdavid_nkya_ atazungumza naye katika Nyota wa Afrika Mashariki mubashara kuanzia majira ya saa nane mchana kupitia ukurasa wa Facebook na YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #maigizo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw