>

Idadi ya watu waliofariki kwa kubugia pombe haramu huko Isiolo imeongezaka hadi watu saba.

2 weeks ago 36
SHARE THIS POST


Idadi ya watu waliofariki kwa kubugia pombe haramu huko Isiolo imeongezaka hadi watu saba. Watu watano walifariki Jumatatu huku wengine wakiendelea kupokea matibabu hospitalini. Hata hivyo wawili kati yao waliaga dunia. polisi wanaendelea na msako wa pombe hiyo mjini Isiolo na vitongoji vyake. polisi wanasema kuwa zipo katoni 14 za pombe hiyo zinazosambazwa na kuwatahadharisha wanywaji wa pombe dhidi ya kununua pombe hiyo.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST