HDR vs HDMI Maelezo kwa kina!
#HDR #HDMI #4kvideo HDR na HDMI ni maneno yanayofanana kimatamshi lakini pia kwenye utendaji kazi yapo kwenye mfumo wa aina moja japo ni maneno yenye maana mbili tofauti,japo yote yanatumika kwenye masuala ya display. SUBSCRIBE Kwenye channel yangu https://www.youtube.com/channel/UCfLUDEBoYJvoQGG2QqTa6CQ 📱 FOLLOW MY SOCIALS 📱 ➽ Instagram - @snashtz ➽ Twitter - @snashtz1 ➽ TikTok - @snashtz HDMI inatumika kwenye mambo ya kusafirisha VIDEO yenye QUALITY kubwa kupeleka kwenye DISPLAY na HDR yenyewe inatumika kwenye DISPLAY kuweka sawa uwiano wa Mwanga na kiza. 0:00 - Intro 0:30 - HDMI 1:12 - HDR 2:35 - Autro