Hatma za kesi dhidi ya rais mteule wa Marekani Donald Trump ni gani?

2 months ago 323


Donald Trump anatarajiwa kuapishwa mnamo mwezi Januari kuingia tena Ikulu lakini bado anakabiliwa na kesi kwenye majimbo na pia kitaifa. Je, nini kitatokea? Mwandishi wa DW Matthew Ward Agius, anaeleza zaidi katika ripoti yake inayosomwa na Zainab Aziz. #kurunzi #habarizaulimwengu #dwkiswahili
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST