DWKiswahili Habari za Ulimwengu | Oktoba 11, 2024 | Jioni| Swahili Habari leo

3 months ago 31


DW Kiswahili Habari za Ulimwengu| Oktoba 11, 2024 | Jioni | Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW | Yaliyomo ni pamoja na Kenya kuongeza askari 600 Haiti, Rais wa Tanzania, amewaongoza Watanzania kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, na Serikali ya Lebanon imetoa wito wa kutaka kusitishwa kwa mapigano kati ya Israel na kundi la Hezbollah. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST