DW Kiswahili Habari za Ulimwengu|Jioni |Podcast
Miongoni mwa yale tutakayo kuwa nayo ni pamoja na : #Tundu Lissu ametangaza nia yake ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chadema. #Rais Ruto asema atawafikia Wakenya wote bila kujali mirengo yao ya kisiasa.