DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Aprili 08, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Idadi ya walionyongwa duniani kote iliongezeka hadi zaidi ya 1,500 mwaka wa 2024, ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Amnesty International. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.