DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | April 7, 2025 | Asubuhi

1 week ago 137


-Mvua kubwa yauwa watu 30 katika mji mkuu wa Kongo. -Maelfu wahudhuria tukio la kumuaga nguli wa muziki wa Mali Amadou Bagayoko. -Mataifa 50 yasaka mazungumzo na kibiashara na Marekani kuhusu ushuru wa Trump. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Source : DW Kiswahili

SHARE THIS POST