Clifford Ndimbo aingia mitaani kuhamasisha mechi ya Stars dhidi ya DR Congo

3 months ago 33


#KufuzuAFCON: “Viingilio tumeweka rafiki kabisa” maneno ya Afisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, akitangaza viingilio vya mchezo wa marudiano wa #KufuzuAFCON2025 kati ya Taifa Stars dhidi ya DR Congo. Mashabiki wa soka Godfrey Majani na Kisugu Mikoi wamesema kiingilio kilichowekwa kila Mtanzania anaweza kumudu. Mechi itapigwa Jumanne ya Oktoba 15, 2024 saa 10:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania
Source : AzamTV

SHARE THIS POST