#BREAKING: MEJA JENERALI MSTAAFU CHARLES MBUGE AFARIKI DUNIA

1 week ago 45


#TANZIA:Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba, Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo Oktoba 12, 2024 alfajiri akiwa nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Augosti 2, 2024, Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.
Source : ITV

SHARE THIS POST