Boti binafsi na meli za kibiashara kuwahamisha watu kutoka Lebanon

2 months ago 22


Nchini Lebanon, zaidi ya watu milioni 1.2 wamekimbia makazi yao tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi ya mabomu. - Wakati safari za ndege zikiwa zimesitishwa na mpaka wa Syria ukizidi kuwa hatari kutokana na mashambulizi yanayoendelea, wengi wanaikimbia nchi kwa njia ya bahari kwa kupanda boti na vivuko. #bbcswahili #lebanon #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Source : BBC Swahili

SHARE THIS POST