Benchikha wa Temeke achoka kufungwa na Yanga

3 months ago 34


Benchikha wa Temeke ambaye ni shabiki wa Simba SC, anasema wameshachoka kufungwa na Yanga huku akikumbushia msimu uliopita ambapo walipoteza katika mechi zote mbili za NBC Premier League. Ni kuelekea #KariakooDerby ambayo itapigwa Oktoba 19, 2024 saa 11:00 jioni #KarikooDerby #SimbaVsYanga #SimbaSC #YangaSC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST