Baada ya Yanga kuichapa Kaizer Chiefs, Dickson Job atoa neno - Toyota Cup

5 months ago 399


Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job amesema msimu ujao anaamini utakuwa bora zaidi kwao. Joob amezungumza na @hassanahmedy_ kutokea ndani ya dimba la Toyota muda mchache baada ya kuichapa Kaizer Chiefs. Matokeo yalikuwa Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’) #ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs #KaizerChiefsYanga #PreSeasonTour #YoungAfricansPreseasonTour #KCYA #KaizerChiefsVsYangaSC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST