Aziz Ki amfanyia surprise Rais wa Yanga, Hersi Said

5 months ago 171


“Surprise” ya Stephane Aziz Ki kwa Rais wa Yanga, Hersi Said ambaye jana alikuwa anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Wananchi leo wapo katika dimba la Toyota kumenyana na Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Toyota Cup. #YangaSC #KaizerChiefsVsYangaSC #KaizerChiefs #YangaSC
Source : AzamTV

SHARE THIS POST