>

Azhari Ali Mbarak ametangazwa rasmi mshindi wa kiti cha uspika katika bunge la kaunti ya Lamu

2 weeks ago 31
SHARE THIS POST


Azhari Ali Mbarak ametangazwa rasmi mshindi wa kiti cha Uspika katika bunge la kaunti ya Lamu baada ya kupata kura 10 huku mpinzani wake Salim Albusaidy akipata kura nane. Wawakilishi wadi tisa pamoja na wawakilishi wateule tisa walishiriki katika uchaguzi huo
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST