Azam FC yakoshwa muitikio wa watu kupima macho Azam Complex

5 months ago 274


Klabu ya Soka ya Azam FC kupitia Meneja Masoko wake, Tunga Ally, wamefurahishwa na muitikio watu waliofika Azam Complex, Chamazi kwa ajili ya kupima macho bure. Zoezi hilo lililofanyika kwa ushirikiano na Hospitali ya Macho ya CCBRT, lilianza jana Jumamosi na kuhitimishwa leo huku mgeni rasmi akiwa ni Meya wa Temeke, Abdallah Mtinika. #AzamFC #Azam
Source : AzamTV

SHARE THIS POST