Azam FC yaiwinda Tanzania Prisons mechi ya NBC Premier League

3 months ago 30


AZAM FC YAIWINDA PRISONS: Kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kikosi chake kinaimarika siku hadi siku huku akiongeza kuwa kupata sare au kushinda mechi ni sehemu ya mchezo. Kwa sasa Azam FC inajiandaa kumenyana na Tanzania Prisons katika mchezo wa NBC Premier League #KageraSugar #Mshikemshike
Source : AzamTV

SHARE THIS POST